Habari za siku kadhaa wanaharakati wenzangu. Nilitoka ghafla kidogo nje ya mji hivyo nikawa nimebanwa na mtandao haujatandaa vya kutosha maeneo ya vijijini.
Leo nimepita kuwapa salamu na kuwajulisha kwamba nimerudi, kama umeme hautakatika, basi nitajitahidi nipitie blogu (nadhani neno la Kiswahili bado halijapatikana) zote ili kuwa na taarifa.
Tupo pamoja wajameni!!
karibu tena.